BARCELONA NAYO YATOA DROO
Timu hiyo ya Atletico ilijipatia bao lake la kwanza mnamo dakika ya 56 ya mchezo huo. Hata hivyo Barcelona walikuwa wakionekana kuzidiwa kabla ya Diego Costa kutolewa nje ya uwanja kwasababu ya kujeruhiwa. Lakini pia klabu hiyo ya Barcelona iliweza kurudisha bao hilo kataka dakika ya 71. Na mpaka mechi inamalizika hakuna aliyeweza kuongeza bao la pili hivyo Barcelona 1-1 Atletico.
Category: SPORTS







Safi sana madogo kuwakazia barca
ReplyDelete