AYA AYA AYA AYA KUMEKUCHAAA
Wale wanaoinua vipaji kipaji ndiyo hiki hapa. kijana pekee mwenye uwezo wa kunyanyua vitu vizito kutokana na uhodari wake aliokuwa nao lakini cha kusikitisha mpaka sasa hajapata mtu wa kumuwezesha kutimiza ndoto zake. Lakini kama tutatazama kwa upande wa pili ni hatari kama atakosa shughuli ya kufanya kwa maana anaweza akawa mkabaji ili akidhi mahitaji yake. wadau mpooo muwezesheni huyu kijana kabla ajajiwezesha.
Category: SPORTS







0 comments:
Post a Comment