SIKIA HII KUTOKA KWADOGO JANJA;
Dogo: Mhudumu niletee bia Mhudumu: nikuletee chupa ngapi?
Dogo: Kwanza niletee chupa kumi
Mhudumu: Sawa naleta
dogojanja baada yakupiga bia zake akawa anasepa taratibuu
Mhudumu: Kaka tunaomba ulipe pesa za bia ulizokunywa
Dogo: Kwani wewe ujasikia kwenye redio kama watoto tunatakiwa kupewa bia bure kwakua haziruhusiwi kuuzwa kwa wenye umri chini ya miaka kumi na nane?
Mhudumu: Eeenhe!!!
Category: COMEDY







0 comments:
Post a Comment